luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Huyu mwenye timu kila akianzisha timu basi wadhamini wana furika ...Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.
Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sanaView attachment 2314092
Hii timu imebeba siasa ndani yake, haiwezekani katimu ndio kameanza hata Watanzania hawakajui vizuri ,halafu makampuni makubwa ya kibepari ya invest mahela yao kwa wingi kiasi hichoNi timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.
Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sanaView attachment 2314092
Yaan hadi inatia hasira mnooo.Hii timu sijui imepata wapi hela za kusajili Wabrazil wote wale! Bado benchi la ufundi!
Yaani ukilinganisha na kuongezeka kwa hizi tozo, kupanda kwa bei ya mafuta na ruzuku yake ya bilioni 100 kila mwezi!
Unaamua tu kujinyamazia.
Watu wanajifunza usidhani kila siku wanarudia makosa yale yaleTimu za yule jamaa huwa hazidumu ni kama puto tu, dakika yoyote likitolewa upepo [uwaziri] litanyauka.
Tatizo lake hana vision, ni shabiki tu.
NakaziaIlitakiwa iwe hivi kwa timu kama 10 hivi.
Zote ziwe na nguvu sawa ndani na nje ya uwanja.
Ng'wigulu Shemba anafanya yakeNi timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.
Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sanaView attachment 2314092
Kila Waziri apewe timuIlitakiwa iwe hivi kwa timu kama 10 hivi.
Zote ziwe na nguvu sawa ndani na nje ya uwanja.