Hawa ndio Wadhamini wa Singida Big Stars

Hawa ndio Wadhamini wa Singida Big Stars

Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.

Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sanaView attachment 2314092
Hii timu imebeba siasa ndani yake, haiwezekani katimu ndio kameanza hata Watanzania hawakajui vizuri ,halafu makampuni makubwa ya kibepari ya invest mahela yao kwa wingi kiasi hicho
 
Hii timu sijui imepata wapi hela za kusajili Wabrazil wote wale! Bado benchi la ufundi!

Yaani ukilinganisha na kuongezeka kwa hizi tozo, kupanda kwa bei ya mafuta na ruzuku yake ya bilioni 100 kila mwezi!

Unaamua tu kujinyamazia.
Yaan hadi inatia hasira mnooo.
 
Timu za yule jamaa huwa hazidumu ni kama puto tu, dakika yoyote likitolewa upepo [uwaziri] litanyauka.

Tatizo lake hana vision, ni shabiki tu.
Watu wanajifunza usidhani kila siku wanarudia makosa yale yale
 
Back
Top Bottom