Hawa ndio wadhamini wakuu wa FIFA Word cup at Russia

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari wanajukwaa, tunategemea kushuhudia mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika huko Urusi hivi karibuni. Mashindano hayo yataonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya TV 1 pamoja na Tbc bure kabisa bila kulopia hata senti tano matangazo haya yataletwa kwetu kwa udhamini wa Coca Cola,Vodacom pamoja na kinywaji pendwa kabisa cha MoFaya kinachomilikiwa na msanii nguli kutoka pande za Tanzania maeneo ya Kkoo japo kwa sasa anaishi Masaki yaani ushuani. Nawasihi Watanzania wenzangu tuacheni unafiki tuwapongeze vijana wetu wanapofanya mambo ya maendeleo kama haya tuyoyaona akina Kiba wanafanya.

Japo yule mwengine yeye anadhamini Ndondo cup inayochezwa katika uwanja wa Tandale shule a.k.a sansiro ya Tandale
 
Hivi wadhamini wakuu wa FIFA WORLD CUP RUSSIA unawajua kweli (Hebu google FIFA WORLD CUP SPONSORS AT RUSSIA),kama utaona hicho kinywaji.Yy ni moja ya wahamini wa MATANGAZO hapo TBC kama ilivyo kwa dawa ya RUNGU,DAWA TATU na TBC , TV1 one wote matangazo wanachua kutoka KWESE TV ya Ghana.
Official FIFA world cup sponsors at Russia ni hao hapo.
#1. Official Sponsors

  • Budwiser
  • Hisense
  • Mcdonalds
  • Vivo
  • Mengnui
  • Cocacola
 
Official Sponsors and Partners of FIFA World 2018

Let’s check out the full list of Sponsors and Partners for Russia World Cup 2018 below.

Budweiser
Hisense
Mcdonalds
Vivo
Along with the above list, there are few other sponsors like: –

Adidas
Coca-Cola
Wanda Group
Gazprom
Hyundai
Kia Motors
Qatar Airways
VISA
 
Mleta uzi alitaka tu kumwambia Diamond yake ya moyoni na ilikuwa ni promo kwa Kiba. Hizi team ni shida hapa JF
 
We sio mzima unakalia ukimaindi nakutusi tena
 
akili zetu tunapeleka wapi watanzania??
 
hivi kuna mtu anayetazama tbccm siku hizi?, mimi nina miaka kadhaa sijaitazama hiyo tv yenye picha chafu
 
Kiba100 anaishi masaki? Kahama lini keikoo
 
we jamaa utakuwa saa mbovu yaani kiba adhamini kombe la dunia..what a joke..!!
 
Pale unazi unapopitiliza kipimo. Hawa wa kina kibakuli na domo watawatoa watu roho, hali ya kuwa hawawahusu katika mkate wenu wa kila siku hata kidoncho..

Bora niendelee kusikiliza bakurutu mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…