Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Habari wanajukwaa, tunategemea kushuhudia mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika huko Urusi hivi karibuni. Mashindano hayo yataonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya TV 1 pamoja na Tbc bure kabisa bila kulopia hata senti tano matangazo haya yataletwa kwetu kwa udhamini wa Coca Cola,Vodacom pamoja na kinywaji pendwa kabisa cha MoFaya kinachomilikiwa na msanii nguli kutoka pande za Tanzania maeneo ya Kkoo japo kwa sasa anaishi Masaki yaani ushuani. Nawasihi Watanzania wenzangu tuacheni unafiki tuwapongeze vijana wetu wanapofanya mambo ya maendeleo kama haya tuyoyaona akina Kiba wanafanya.
Japo yule mwengine yeye anadhamini Ndondo cup inayochezwa katika uwanja wa Tandale shule a.k.a sansiro ya Tandale
Japo yule mwengine yeye anadhamini Ndondo cup inayochezwa katika uwanja wa Tandale shule a.k.a sansiro ya Tandale