Hawa ndio wahenga Wa jf

wengine hatuvumi tu
ila ni wahenga saana..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha uwongo, kwenye list yako kuna waliojiunga hivi majuzi tu na hawekwepo hiyo 2008 humu labda kama walikuwa wakitumia ID tofauti, then wakazibadili au zikaunganishwa baada ya kuwa na ID nyingi!



Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe pia muhenga nilikusahau

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mods wawape bonus ....

Si kwa uhenga huu

Post sent using JamiiForums mobile app
Ya witnessj hebu waza mtu toka 2006 yupo jf
Shikamooni wahenga!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…