Mkuu kuzeeshana unashangaa unakosa vitamu[emoji23] [emoji23] muhenga unaogopa kuwakosa chuchu saa sita wakina jovitha
Post sent using JamiiForums mobile app
Me hapana,...Mkuu wewe pia muhenga nilikusahau
Post sent using JamiiForums mobile app
Mhenga Mkubwa wewe!Mmmh je mimi niliyejiunga 2006 wakati wa jambo forums utaniita nani?
Hizo nafasi zina wenyewe...[emoji41]Freyzem basi wewe ni reserve muhenga![emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Jina lako limenikumbusha mbali
Duhh.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ohoooo!!!naona umesahaulika kwenye list ya wahenga hapo juu.
-Ndumilakuwili-
Ukiona hivyo ujue huyo sio muhengaHivi hiyo "sent from jamiiforums mobile app" ndio swagg au slogan??
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Eti nimekuwa muhenga mie jamanHapo naona kasahaulika dada yangu CHIKIRA MTABARI kitambo sana anawakilisha humu[emoji116]huyo dada yangu Shunie namwona hapo kwenye list ila dizaini kama mwaka jana ndio kaanza kuwakilisha
-Ndumilakuwili-
Unaumri gani vileEti nimekuwa muhenga mie jaman