Hawa ndio wahenga Wa jf

Hawa ndio wahenga Wa jf

Hapo naona kasahaulika dada yangu CHIKIRA MTABARI kitambo sana anawakilisha humu[emoji116]
680dcb58c6f92ca09473d119111985cc.jpg
huyo dada yangu Shunie namwona hapo kwenye list ila dizaini kama mwaka jana ndio kaanza kuwakilisha
3adb68e653b138e8c2e796a525271b06.jpg

-Ndumilakuwili-
 
Hivi hiyo "sent from jamiiforums mobile app" ndio swagg au slogan??

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Duuh... CHIKIRA MTABIRI

Long time asee, yaan kipindi hicho sikujua hata kama kuna mitandao duniani!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapo naona kasahaulika dada yangu CHIKIRA MTABARI kitambo sana anawakilisha humu[emoji116]
680dcb58c6f92ca09473d119111985cc.jpg
huyo dada yangu Shunie namwona hapo kwenye list ila dizaini kama mwaka jana ndio kaanza kuwakilisha
3adb68e653b138e8c2e796a525271b06.jpg

-Ndumilakuwili-
Eti nimekuwa muhenga mie jaman
 
Back
Top Bottom