Hawa ndio wahenga Wa jf

Hawa ndio wahenga Wa jf

Chonde chonde wahenga wa jf tunawaomba mtuachie mademu zetu waliojiunga kuanzia 2015 msiwatongoze
 
Potelea mbali! Lakini kwa sasa si muda wa kukimbazana na wataalam wa mitishamba ya kuongeza nguvu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Potelea mbali! Lakini kwa sasa si muda wa kukimbazana na wataalam wa mitishamba ya kuongeza nguvu
Wahenga wako fit hawahitaji busta,muhenga hata akiwa na 70 anaoa been bint Wa 15

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na ww pia mhenga vile vile

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom