bintimzalendo
Member
- Feb 27, 2014
- 74
- 30
Watu wamekaa mwaka mzima mtaani unategemea nn?
Huo ni mshangao ambao kila mtu anamshangao wake.
We u.me. Chi..zi. ka na VODACOM? mwalimu aliyeiva vzur hawez kutoa hoja kama hyo!
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
Hii inaweza kuwa sababu kweli?? Acha tujipe moyo huenda ndio sababu
Umeishiwa Story! Huo Ni Uongo Hakuna Mwl Anayeweza Kusema Hivyo
bintimzalendo inawezekana ikawa sababu, by the way, hamna mwalimu anaye weza sema hivyo, labda kwa mtu anaefikiria kusomea ualim ndio anaweza akauliza hivyo, otherwise not teacher.
Wauize walimu kumi unaowajua KWANINI waliingia kwenye hiyo fani huenda unaweza ukawa na majibu
thread yako haiendani na heading hata kidogo.
Jifunze kutenganisha wingi na umoja.
Sio wote waliosomeshwa na serikali wengine tulijilipia wenyewe tangu vidudu hadi c
Acha kukariri mazingira, tulia ujifunze kupitia wengine si unabubusa bubusa tu
ile milion12 ya hslb wataanza kunkata anyway ngoja nkafundishe ki digital.
Punguza majungu we mama.Umeona mkuu eeeeh, mi nilipigwa na butwaa kwakweli