Hawa ndio walimu wetu wapya

Hawa ndio walimu wetu wapya

bintimzalendo

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
74
Reaction score
30
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
 
Watu wamekaa mwaka mzima mtaani unategemea nn?

Huo ni mshangao ambao kila mtu anamshangao wake.
 
We u.me. Chi..zi. ka na VODACOM? mwalimu aliyeiva vzur hawez kutoa hoja kama hyo!
 
Walimu wapigwe msasa kwanza maana wengine watashindwa hata kujitambulisha.
 
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.

noma sana
 
Hii inaweza kuwa sababu kweli?? Acha tujipe moyo huenda ndio sababu

bintimzalendo inawezekana ikawa sababu, by the way, hamna mwalimu anaye weza sema hivyo, labda kwa mtu anaefikiria kusomea ualim ndio anaweza akauliza hivyo, otherwise not teacher.
 
Last edited by a moderator:
bintimzalendo inawezekana ikawa sababu, by the way, hamna mwalimu anaye weza sema hivyo, labda kwa mtu anaefikiria kusomea ualim ndio anaweza akauliza hivyo, otherwise not teacher.

Wauize walimu kumi unaowajua KWANINI waliingia kwenye hiyo fani huenda unaweza ukawa na majibu
 
Last edited by a moderator:
msasa upigwe wewe huku ni kudhalarisha walimu wapya fikria wamekaa kitaa toka mwezi may 2013 had mos april 2014''tuliowengi tulikata tamaa sasa tunapiga kitabu hatuna mpango na hela kujikimu
 
thread yako haiendani na heading hata kidogo.
Jifunze kutenganisha wingi na umoja.
Sio wote waliosomeshwa na serikali wengine tulijilipia wenyewe tangu vidudu hadi chuo kikuu.
Acha kukariri mazingira, tulia ujifunze kupitia wengine si unabubusa bubusa tu
 
Wauize walimu kumi unaowajua KWANINI waliingia kwenye hiyo fani huenda unaweza ukawa na majibu

Kwa hapa Tz tunasoma ili tuwe na security na kila mtu nadhani ndio lengo lake, most of us we aim for the salary.
 
thread yako haiendani na heading hata kidogo.
Jifunze kutenganisha wingi na umoja.
Sio wote waliosomeshwa na serikali wengine tulijilipia wenyewe tangu vidudu hadi c
Acha kukariri mazingira, tulia ujifunze kupitia wengine si unabubusa bubusa tu

Ww huenda ukawa ni mmoja kati ya hamsini walosoma ualimu bila mkopo, ni asilimia kubwa walosoma kwa mikopo. Nakumbuka chuo nilichosoma mimi ilikuwa mukopo inazingua na chuo walikuwa wanatuambia tukitaka mikopo tuhame kozi tunazosoma tuhamie education, na wengi walihamia ili wapate mikopo
 
Kuna baadhi ya vyuo kutoa graduates kama hao ni kawaida tu,

anategemea mambo mengine atajifunza kutoka kwa wanafunzi na walimu wenzake akifika shule.

Kweli wanafunzi wanafeli kwa mengi sana hasa akikutana na mwalimu kama huyo.
 
Back
Top Bottom