Hawa ndio waliosababisha waislam wakauwawa pale mwembechai

Status
Not open for further replies.
Huu upuuzi utaisha lini?
 
ilianzia na akina Mwabukusi. Maoni yao yalijibiwa kivitendo zaidi
 
Bila shaka wewe ni sheh mwaipopo
 
Kwa usultani kama huu hapo chini,hata mimi naungana na TEC.
CCM mnatupeleka ambako siko tulikotaka kwenda!
Mmetufikisha mahala kwamba mtoto wa Rais asiyekuwa mtumishi wa nafasi yoyote serikalini...eti anakwenda kuongea na Rais Museveni kuhusu miradi ya Umeme baina ya nchi hizi mbili?
 
Mkuu TEC ktk tamko lao hawakuitaja dini yoyote. Wewe jielekeze kwenye hoja na si kushambulia watoa hoja. Kama unazo pointi nzuri za kutetea Mkataba huo ziwasilishe hapa jukwaani na watu watakuelewa.

Tukianza kushambulia a kiimani (kidini) tutakuwa tunaonesha upumbavu wetu badala ya kuonesha weledi wetu. Umesema ktk heading Yako kuwa TEC ndiyo iliyosababisha waislamu wakauwawa pale mwembechai, lakini maelezo Yako hayajaonesha walisababisha Kwa namna gani. Jielekeze kwenye hoja.
 
Mzee unajitoa ufaham au umeamua kumtumikia kafir. Kwamba wakati wa Magu hawa jamaa hawakutoa tamko una uhakika? Pili hoja hapa ni mkataba au watoa hoja. Hiv shetan akija hapa kwa mfano akakuambia mheshimu sana Mungu na umtii na kumuabudu yeye peke yake anakuwa ameongea ukweli au amekupoteza. Tanzanian ni ng'ombe kabisa.
 
Una matatizo ya upungufu wa akili kichwani unahitaji Tiba.
 
Pascal Mayalla likes this
 
Majizi ,matapeli kabisa na wahujumu uchumi.

Wala rushwa , wafanyabiashara za haramu walishawahi kutuhumiwa kuingiza silaha eti leo wanaongelea wananchi wote.

Ujinga mtupu.!!
 
Wavaaa kobazi Wana hasira sana toka Jana , uzuri wa watanzania wengi wa Sasa hawaangalii dini wanaangalia Haki haijalishi anayetetea hiyo haki ni dini gani
 
TEC nyie ni wasemaji huko kanisani kwenu na kwa waumini wenu wa katoliki na si vinginevyo na hamjawahi kuwa wasemaji wa watanzania.
We kweli Mbumbumbu hivi unataka kusema hao waumini wa TEC ni waburundi au wanyarwanda?

Kabla ya kuandika angalia na kiwango chako Cha umbumbumbu
 
Mpuuzi mkubwa wewe, unaandika kwa mhemko wa kidini. Fahamu kuwa kuna ambao si wakatoliki pia hawakubaliani na huo mkataba tata wa bandari. Waambie wa dini yako nao watoe tamko la kuunga au kupinga tujue mbivu na mbichi. Mjinga sana wewe, unatumia dini kuji defend udhaifu. Kwa nini nyie waislam muumini mwenzenu akifanya blundering huwa mnajisikia vibaya akipingwa? Kuweni na akili huru acheni kufuata mikumbo kwa kuwa ni ndugu katika dini. Huku kwingine mwanadini mwenzetu akivurunda anapewa makavu tu bila kujali ni dungu yetu katika imani
 
Kwani TEC sio wananchi?. Hayo maoni ya wananchi yatatoka wapi?
Nimesoma zaidi ya mara tano malengo ya kuanzishwa kwa TEC mbali na kufanya majukumu ya kiuchungaji sijaona wapi wanatakiwa kufanya siasa wanazifanya sasa.

TEC ni wanafiki na kikundi cha watu wanaochagua kusema matukio yasiyo na manufaa kwao lakini yenye manufaa kwao wanakaa kimya kama ambavyo walikaa kimya kwenye suala la miongoni mwao kupokea rushwa kwenye hela za ESCROW. Hawa ni wahuni tu hakuna jina jingine la kuwapa kwa wakati huu.
 

Huyu jamaa hata kitimoto ina afadhali maana inaliwa nyama, mpuuzi mmoja aliyejaa kamasi kichwani, TEC wamekuja na hoja ya kuokoa rasilimali zetu yeye analeta udini,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…