Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Hapo juu umesema Tec walinyamazia uchaguzi wa mwaka 2020, kwa maana ya kwamba ulikua na kasoro.Watanzania walishachagua wabunge na hao ndiyo wasemeji wao kule bungeni. Nyie TEC mlichaguliwa na nani na wapi kuwa wasemaji wawatanzania? Au nani aliwatuma kuwa wasemaji wa watanzania?
Hapa unasema watanzania walishachagua wawakilishi ambao ni wabunge!
Hao wabunge ni hao waliotokana na uchunguzi huo 2020?