Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
 
Atake asitake alipigwa chini na marehemu kwenye ubunge,huwezi kumuona hapo ukizingatia ilikuwa ni kauli ya kujikomba na ikamponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…