Hawa Ndio Wametufikisha Hapa Kisoka

Hawa Ndio Wametufikisha Hapa Kisoka

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
9.JPG
9.JPG
9.JPG
 
Muhidini Doo Langu aliapa katika utawala wake kamwe asingetoa kibali kwa Mwameja kucheza nje ya nchi.. Mwameja akakosa dili la wazi kabisa kucheza Reading iliyokua daraja la pili uingereza wakati huo
 
Kuna mtu anaitwa Kanali Kipingu, jamaa alikuwa mzuri sana kwenye kuibua na kukuza vipaji, huyu alipashwa ndie awe mkurungezi wa ufundi pale Tff, sijui alipotelea wapi !
 
Alienda akaishia kuchuma matunda ya strawberry.
 
Muhidini Doo Langu aliapa katika utawala wake kamwe asingetoa kibali kwa Mwameja kucheza nje ya nchi.. Mwameja akakosa dili la wazi kabisa kucheza Reading iliyokua daraja la pili uingereza wakati huo
Dah!...
 
Kuna mtu anaitwa Kanali Kipingu, jamaa alikuwa mzuri sana kwenye kuibua na kukuza vipaji, huyu alipashwa ndie awe mkurungezi wa ufundi pale Tff, sijui alipotelea wapi !
Heshima zake...alinikubali akanipa viatu!!
 
Back
Top Bottom