Hawa ndio Wamiliki wa Media za Clouds na Wasafi

Write your reply... ndio unajua Leo nn, huo mjadala ulishaishaga kitambo mbona buda
 
Diamond ni genious wa kitaa in 10 yrs.. katoka street za tandale kula miguu ya kuku mpaka ubilionea.. si mchezo.. diamond anapigiwa simu hadi na rais jukwaani.. rais anasema wewe mwanaume
Rais wa mbeya au chattel?
 
Kwa hiyo mkuu wasafi inamilikiwa na mke wa Joseph kusaga..!, hizi habari za udaku huwa mnazitoa wapi...!?
Kama huna na uhakika na unacho ongea nyamaza au umekosa cha kuandika..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mbaka leo ulikuwa hujui hili?!?basi ndio hao wengine unao waona sijui diamond na wenzake ni vidampa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…