Hawa ndio Wamiliki wa Media za Clouds na Wasafi

Hawa ndio Wamiliki wa Media za Clouds na Wasafi

Nani alikudanganya mke wa Kusaga ametoka familia tajiri?

Rangi inawadanganya hiyo.. huyo.mama mngazija na family yake wote baba mama watoto wajukuu mashangazi walikuwa wamerundikana kwenye kile ki apartment uchwara pale kona ya kuelekea faya leo hii useme eti katoka familia tajiri .. huyo mama ndoa ndio imemtoa
 
Mtu akiwa na shea nyingi sio kuhalalisha ya kwamba ni mmiliki elewa tatizo nyie mmejawa na vihabari vya udaku,
Zaidi ungeandika ya kwamba hawa ndio wamiliki wa wasafi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umiliki ni wa wote mbona ikisemwa Diamond anamiliki Wasafi mnakenua hamsemi hamiliki wanamiliki?

Iweje hamchukii mwenye hisa ndogo akitajwa mnachukia mwenye hisa nyingi akitajwa?

Uchawa kipaji
 
Ukweli wote huu hapa
Screenshot_20200920-211136.jpg
 
Hii inawezekana ni mali ya chama kinachopendwa na watanzania wengi zaidi ngoja tufanye uchunguzi zaidi baada ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom