NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
kuzama white house so mchezo babaake.
Mwenye hisa nyingi ndo mwenye final say, maana kawekeza zaidiNawe pia karibu kijijini kuwa na hisa nyingi sio kuwa mmiliki mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikudanganya mke wa Kusaga ametoka familia tajiri?
Mkuu ndio anamili zaidi ya asilimia 50 wasafiKwa hiyo mkuu wasafi inamilikiwa na mke wa Joseph kusaga..!, hizi habari za udaku huwa mnazitoa wapi...!?
Kama huna na uhakika na unacho ongea nyamaza au umekosa cha kuandika..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umiliki ni wa wote mbona ikisemwa Diamond anamiliki Wasafi mnakenua hamsemi hamiliki wanamiliki?Mtu akiwa na shea nyingi sio kuhalalisha ya kwamba ni mmiliki elewa tatizo nyie mmejawa na vihabari vya udaku,
Zaidi ungeandika ya kwamba hawa ndio wamiliki wa wasafi
Sent using Jamii Forums mobile app
How!?Nawe pia karibu kijijini kuwa na hisa nyingi sio kuwa mmiliki mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo mpyaNawe pia karibu kijijini kuwa na hisa nyingi sio kuwa mmiliki mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo mpya
Siyo mmiliki ni majority share holder, founderBill gates hisa zake ni 20% Ila ndiye mmiliki wa Microsoft.
Siyo mmiliki ni majority share holder, founder
Sijasomea hayo mamboBill gates hisa zake ni 20% Ila ndiye mmiliki wa Microsoft.
Wengine utakuta wana 0.9%Bill gates hisa zake ni 20% Ila ndiye mmiliki wa Microsoft.
Mwenye hisa nyingi ndio mmilikiKuna tofauti kati ya kuwa na hisa na kuwa mmiliki