Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

Kumbe wewe ndio shost?Nashangaa sikuoni kumbe...
Asante kwa taarifa.
Na pole pia
Wahuni wengi walikua wanakuja PM kunitongoza wqkijua mm wakikee, hahahaha
Ikabidi nibadili ID ikawa Ibilisi.
Nayo ibilisi ikawa hivyoo tenaa.

Watu hawajui ID humu hazimaanishi uhusika
 
Wahuni wengi walikua wanakuja PM kunitongoza wqkijua mm wakikee, hahahaha
Ikabidi nibadili ID ikawa Ibilisi.
Nayo ibilisi ikawa hivyoo tenaa.

Watu hawajui ID humu hazimaanishi uhusika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi pia nilidhani wewe Ke.
Pole
Ila sio vyema kutumia username tofauti na jinsia yako...hawana makosa.
 
Back
Top Bottom