Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ooh basi sawaTeh teh hapana aisee ,kitu kilichoshindikana hakiwezi kuwa complicated ,yeye amejitolea kwa chochote
Kwa maneno machache yupo radhi kujitoa muhanga
Vipi upo radhi kujitoa muhanga ? TulianzisheOoh basi sawa
Haha me sijashindikanaVipi upo radhi kujitoa muhanga ? Tulianzishe
Asante sana nafarijikaHabari wakuu. Tunapokaribia kuumaliza mwaka nimeona sio mbaya nikashiriki nanyi hii list ya wana Jf watano walionikosha kwa mwaka 2016.
5. MSAGA SUMU
Huyu jamaa ni umiza kichwa usije ukamchukulia serious. Mwanzoni nilikuwa simuelewi ila baadae nikawa naenjoy kinoma ninapozisoma nyuzi zake.
4. chige
Sijajua huyu jamaa ana mishe gani kwenye mziki. Ila usipokuwa na mtizamo wa kiteam team utaelewa namaanisha nini. Uwezo wake wakuchambua mambo kwenye tasnia ya mziki na mkubwa mno na wenye facts.
3. mshana jr
Achana na mada zake za kichawi. Huyu jamaa ni miongoni mwa members wa Jf anayeweza kudhibiti hisia zake zinapokuja mada za dini.
2. MSEZA MKULU
Huyu jamaa amenifanya nilipende jukwaa la kimataifa. Huwa anatoa facts za hatari sana.
1. The bold
Na hapa ni Dr. Cooper mwenyewe. Sina cha kusema kwa huyu jamaa ila nahisi wakina Mexece Melo wanamlipa huyu jamaa kwa jinsi anavyoifanya kazi yake kwa umahiri wa hali ya juu. Intelejensia ni The bold.
Ipi list yako?
[emoji115] [emoji109] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mshana jr
Daudi mchambuz
Siku ukishindikana nitafute aisee nafasi yako ni special utaikuta tu ,Haha me sijashindikana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Simiyu Yetu
Barbosa
tang'ana
Lizaboni
Motochini
wakudadavua
mangi general
yehodaya
tatamadiba
rutashobolwa
Duu aisee hivi ilikuwaje mpaka nikaambiwa mimi ni we we?Mimi Je hamnikubali?
Avatar mkuuDuu aisee hivi ilikuwaje mpaka nikaambiwa mimi ni we we?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aka mitindo huruAsante
....Free ideas.....
Pamoja sana kaka nakuheshimu sanaa kuna kitu nitakuja kukuomba ushaur wako. Unisaidie but now. Acha nijichange kwanzaa[emoji115] [emoji109] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]General Mangi ID mpya baada ya ID ya @Ibilisi kukataliwa na Mod kutumika kuchangia Jukwaaa la GT.
Nazikubali sana ID zangu..
Ilianza shost ikaja @Ibilisi na sasa General Mangi.
Zen mende mchafu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji115] [emoji106] [emoji109] [emoji120]1.Nyani Ngabu
2.kiranga
3.the bold
4.msaga sumu
5.mshana jr
6.titimunda
Kumbe nina special place eeh? Sasa nishindikanaje?Siku ukishindikana nitafute aisee nafasi yako ni special utaikuta tu ,
Thanks sana[emoji109] [emoji120]Pasco
Salary slip
Technically
Niffah
BAK
Mshana Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]kiranga the God [emoji4] [emoji4]
Karibu sana usijaliPamoja sana kaka nakuheshimu sanaa kuna kitu nitakuja kukuomba ushaur wako. Unisaidie but now. Acha nijichange kwanzaa