Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

Habari wakuu. Tunapokaribia kuumaliza mwaka nimeona sio mbaya nikashiriki nanyi hii list ya wana Jf watano walionikosha kwa mwaka 2016.

5. MSAGA SUMU
Huyu jamaa ni umiza kichwa usije ukamchukulia serious. Mwanzoni nilikuwa simuelewi ila baadae nikawa naenjoy kinoma ninapozisoma nyuzi zake.

4. chige
Sijajua huyu jamaa ana mishe gani kwenye mziki. Ila usipokuwa na mtizamo wa kiteam team utaelewa namaanisha nini. Uwezo wake wakuchambua mambo kwenye tasnia ya mziki na mkubwa mno na wenye facts.

3. mshana jr
Achana na mada zake za kichawi. Huyu jamaa ni miongoni mwa members wa Jf anayeweza kudhibiti hisia zake zinapokuja mada za dini.

2. MSEZA MKULU
Huyu jamaa amenifanya nilipende jukwaa la kimataifa. Huwa anatoa facts za hatari sana.

1. The bold
Na hapa ni Dr. Cooper mwenyewe. Sina cha kusema kwa huyu jamaa ila nahisi wakina Mexece Melo wanamlipa huyu jamaa kwa jinsi anavyoifanya kazi yake kwa umahiri wa hali ya juu. Intelejensia ni The bold.

Ipi list yako?
Asante sana nafarijika
 
Simiyu Yetu
Barbosa
tang'ana
Lizaboni
Motochini
wakudadavua
mangi general
yehodaya
tatamadiba
rutashobolwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom