Hawa ndio wanaruhusiwa kupiga kura kwenye tuzo za B.E.T

Huu umoja wanaoutaka baadhi ya watu wanaosisitiza Diamond apigiwe kura na watu ulitakiwa uwe kwa wasanii wote wanapopata nafasi Kama hizi lkn nashangaa ukiwa Diamond ndo unasisitizwa Zaid lkn kwa wengine hapana hii Ni double standard.
 
Mpeni sasa tuzo huyo mpumbavu mwenzenu.

Unategemea apendwe na watu anaowatukana majukwaani kila siku...
Kama kuna kupiga kura basi mjue kuna timu ya yule mmakonde mjinga,yule king uchwara wa Kariakoo na sisi wapenda mabadiliko hatutapoteza kura zetu kumpigia huyo dogo.
 
Sasa mataga na wale wafuasi nguli wa chama mboga mboga waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni wa kumpa zote za ndiyo itakuwaje?
 
Tatzo vjana wa sikuhizi mnajikuta mnaakili sana, kila kitu mnataka kukijua na kutafsiri kwa maana mnazotaka nyie, mbona Muogo wa jang'ombe ilikuwa poa tu....
Unaujua umri wangu dogo au unadanganywa na upya wa ID ukome kabisa yaani tena na heshima, kwa mziki gani anaoimba diamond Kama sio matusi unahisi social media zingekuwepo enzi zetu huyu bwege angefua dafu na mziki wa kile kweli
 
Mi sielewi chochote tumeambiwa tu tusimpigie kura dimondi na tugomee kusikiliza nyimbo za zuchu....konde gengi fo everybadi🤸‍♂️🤣🐒
 
Hivi ikatokea Dimond akachukuwa tunzo hivi watanzania mtasema nini aisee na kumuombea vibaya au ndio mtakuwa kama sisiemu yaan wanafiki ghafla au ndio siasa hata kwenye Mziki. Achen bana ana represent nchi mwacheni achukuwe
 
Sasa mataga na wale wafuasi nguli wa chama mboga mboga waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni wa kumpa zote za ndiyo itakuwaje?
Kama umegundua kitu diamond ana trend twitter kwa leo siku ya pili hii pia inamuongezea crdt.Kumbuka hizi tuzo pia ni biashara na wanataka tuzo zao ziongelewe dunia nzima.Mark my word Diamond atashinda hii tuzo.I am sure on that
 
Hivi ikatokea Dimond akachukuwa tunzo hivi watanzania mtasema nini aisee na kumuombea vibaya au ndio mtakuwa kama sisiemu yaan wanafiki ghafla au ndio siasa hata kwenye Mziki. Achen bana ana represent nchi mwacheni achukuwe
Haiwezi kutokea ukweli lazima usemwe arooooh...
 
Kama umegundua kitu diamond ana trend twitter kwa leo siku ya pili hii pia inamuongezea crdt.Kumbuka hizi tuzo pia ni biashara na wanataka tuzo zao ziongelewe dunia nzima.Mark my word Diamond atashinda hii tuzo.I am sure on that
Hii tuzo hapati tuwekeane hela
 
Bunaboy anabeba hii kitu kabla
Miss ya Kwanza haijatoka
 
Siyo kweli, nenda Twitter kuna link ya upigaji kura wa miaka iliyopita inasema wazi wanaopiga ni viewers tena waweza kurudia... Kesho nitakuwekea hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…