Hawa ndio wanaruhusiwa kupiga kura kwenye tuzo za B.E.T

Hawa ndio wanaruhusiwa kupiga kura kwenye tuzo za B.E.T

Maybe procedures on how to vote were modified in 2021. If not then this is a LIE!
This was 2020.
To vote, head over to BET.com where you can vote as many times as you'd like for each category. Then, tune in on Sunday, June 28 at 8pm EST. The award show will be airing on CBS and BET.Jun. 23, 2020
Hello guys hope mko poa wote kama kuna ambae hayuko poa Mungu awe naye.

Nimeona mijadala mingi sana kwenye mitandao watu wakifanya kampeni ya kutompigia kura diamond platnumz katika tuzo za BET na kujinasibu kuwa watampigia Burnaboy au Wizkid.

Labda kitu ambacho watu wengi hawafahamu ni kuwa ushiriki wa mashabiki katika tuzo hizi haupo kabisa. Kura zote zinapigwa na members of Academy ambao kwa mujibu wa wikipedia hawazidi 500.

Hao members wanapatikana hivi. Watu wa media, bloggers, Tv personalities na wadau wengine wa muziki, wanatumiwa maombi ya ku nominate nani na nani awe kweny category.

Kwa academy members huwa wana apply form kwenye mtandao wa VIACOMCBS ambao ndio wamiliki wa vituo vya BET, MTV na VH1

Huko kweny hiyo form utaulizwa maswali kuhusu pop culture ya duania nzi@ma.Ukisha jibu hayo maswali wao ndio wataku asses kuangalia wale waliojibu maswali kwa usahihi zaidi.

Na hapo ndio utapata confirmation ya kua umekua accepted kua member au kukataliwa.Na hao ndio weny ruhusa ya kupiga kura.

So hao wapiga kelele huko twitter hawatabadili chochote.Wala hawata ongeza chochote.
 
Sasa kwenye hao watu special, huyo domo ndo hata kura 1 hapati, nwei hawezi kushinda hata iweje, anakua msindikizaji tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama umegundua kitu diamond ana trend twitter kwa leo siku ya pili hii pia inamuongezea crdt.Kumbuka hizi tuzo pia ni biashara na wanataka tuzo zao ziongelewe dunia nzima.Mark my word Diamond atashinda hii tuzo.I am sure on that
Wee una matatizo ya akili? Yaan domokaya ashinde mbele ya wizkidayo na burna boy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu umoja wanaoutaka baadhi ya watu wanaosisitiza Diamond apigiwe kura na watu ulitakiwa uwe kwa wasanii wote wanapopata nafasi Kama hizi lkn nashangaa ukiwa Diamond ndo unasisitizwa Zaid lkn kwa wengine hapana hii Ni double standard.
Wewe umekatazwa kusistiza kuhusu hao wassnii wengine ?
 
Sasa kwenye hao watu special, huyo domo ndo hata kura 1 hapati, nwei hawezi kushinda hata iweje, anakua msindikizaji tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujui hao hao wanao piga kura ndio walio nominate sasa cjui utasema mtu am nominate alaf shindw kumpigia kura
 
Maybe procedures on how to vote were modified in 2021. If not then this is a LIE!
This was 2020.
To vote, head over to BET.com where you can vote as many times as you'd like for each category. Then, tune in on Sunday, June 28 at 8pm EST. The award show will be airing on CBS and BET.Jun. 23, 2020
Hebu nenda uka vote ww utupe na ushahid umempigia nani.Kwan hata uona hao wanaompinga hakuna hata mmoja mwwny ushahid kua kampigia burna au wizkid
 
Nikupe ushahidi wewe kama nani? Jifunze kuandika badala ya kuandika ujinga ujinga?
Hebu nenda uka vote ww utupe na ushahid umempigia nani.Kwan hata uona hao wanaompinga hakuna hata mmoja mwwny ushahid kua kampigia burna au wizkid
 
Nasisitiza tena hakuna kumpigia kura mwehu huyo.Labda ccm
 
Kwa formality hiyo uliyoiweka duuh Kaka Nasib hawezi kutoboa!! Tusiweke tumaini Kabsa Hapo [emoji16]
 
Kwa formality hiyo uliyoiweka duuh Kaka Nasib hawezi kutoboa!! Tusiweke tumaini Kabsa Hapo [emoji16]
Bro hiz tuzo hua ziko kibiashara zaid na hua wanajali sana public interest na contraversy.Kuna wanaweza wakampa tuzo Diamond ili kukuza wigo wao wa kibiashara East Africa.Na tukisema kweli hata kama ingekua ni public vote na kupiga kura unavyoweza.Hata hawa wanaojiita wanaharakati wasingeweza kuzuia diamond kuongoza polls.Ameshaongoza hizi polls kweny tuzo nyingi mno.Narudia hata wangepiga kampeni kiasi gani Diamonda kwa public vote ange win to.Coz kwa diamond sio tu Tanzania ni East Africa
 
hivi mziki wa matusi na majigambo au hata maana unadumu wili tatu ndio tumpe tuzo?
 
Back
Top Bottom