Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

- Tabia za CCM zinafahamika miaka yote, naamini hata wao wanajua kuibiwa ni lazima kinachowapa imani ni scale ya wizi wanahisi itakuwa ndogo, haitakuwa kama 2020, kama yale maridhiano hayakuisha vizuri iweje waamini uchaguzi ujao utakuwa huru na haki?! Never.

- Hata kama washauri wapo, the truth is wapishapiga hesabu wakaona hata kama wasiposhiriki vipo vyama shikizi vitashiriki na kuyapa nguvu madai ya uchaguzi kuwa huru na haki, hivyo ninaamini kabisa, Mbowe na wenzake kwa uamuzi wao wa kushiriki uchaguzi chini ya hizi sheria mbovu zilizopo wamejitoa mhanga, yeye anaweza kupewa, wenzie wakakosa hata kama walishinda kihalali.

- Hayo madai yako ya mwenyekiti kulazimisha kushiriki mwenyewe sijui umeyatoa wapi, nachojua Chadema walikutana Mtwara ndio wakaja na hilo Azimio waliloita la Mtwara, wakakubaliana kwa pamoja kushiriki chaguzi zinazokuja.
 
Chawa wa Zito unapima upepo
 
Kwenye heading ungeandika kuwa hii ni Ramli
Ramli ya nini mkuu, sio lazima uoneshwe kila kinachoendelea nyuma ya pazia haswa kinachohusu masilahi ya mkuu wa chama. Wewe endelea kukausha koo lako kuwatetea wanasiasa.
CHADEMA tulishakataa Serikali ya nusu Mkate.
Bado haujajifunza tu kupitia porojo zilizoelekezwa kwa Lowasa kuanzia 2008 hadi 2015 na hao wanaokwambia wamekataa nusu mkate!

Kalaga baho kijana.
 
Umbea tu, how comes list iko na 2 people?
Ungeandika "Mbowe na Zitto wahaidiwa Ubunge"
Yote ni yale yale ilimradi imeeleweka kuwa kuna wenye majimbo yao tayari wanasubiri kutangazwa tu huku nyinyi mkichanika midomo kudai katiba na tumehuru.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…