God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Ukiona mwanamkeHabari za jumapili wana MMU.
Unaweza kua umekaa na mwnamke mko wawili mnaongea mambo ya kawaida alafu sketi yake au gauni linaaacha sehemu ya mwili wake hasa mapaja.... wewe unaona tuu kawaida unahisi sababu ni fupi au ni fashion ya hio nguo...
Lakini akitokea mtu mwingine unaona anaanza kuziba ile sehemu iliyo wazi haraka haraka kama ni mapaja basi anabana miguu...
Unaanza kujiuliza alikua ANAKUTEGA au amekuona HAUNA MADHARA.
Yote mawili yanawezekana,japo la kwanza linaweza kuwa na nguvu zaidi.Unaanza kujiuliza alikua ANAKUTEGA au amekuona HAUNA MADHARA.
hapo mkuu umetisha, ivi ikikutokea utafanyaje? me kama mwanamke anajipima kwangu na mm ntamuonyesha haki yake tuu ili wote tuende sawa maana sitaki dharau,yamenitokea sana hayaUkiona mwanamke
1.Amekuachia wazi sehemu ya mwili wake kama upaja na tt, hiyo ni COME ON SIGNAL
2.Anakuruhusu u access pochi yake na uone vilivyomo ndani, hiyo ni COME ON SIGNAL
3.Anacheka na kutabasamu bila sababu, hiyo ni COME ON SIGNAL
4.Anajishika mabega,nywele,ttz, mapaj* hiyo ni COME ON SIGNAL
5.Ameshika chochote mf mkono wake na anachezea kama ameshika ub00 hiyo ni COME ON SIGNAL
SUBIRI, usiende kwanza chunguza kwa umakini, wengine hawajatongozwa muda mrefu so wanakutega kuona kama bado wapo kwenye form, then ukiingia kingi unakula cha mbavu.Baadhi ya wanawake wengi hawaongei kwa maneno kama ME bali kwa vitendo.Ninacho hisi wewe ulipoteza 99.9% za kumgegeda mtu so kuwa makini usirudie uzembe tena!!!.
kama ndo hivyo we nletee tundu lako nikuonyesheUkiona hivyo ujue wewe ni joka la kidisa..[emoji12] [emoji12]