God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Habari za jumapili wana MMU.
Unaweza kua umekaa na mwnamke mko wawili mnaongea mambo ya kawaida alafu sketi yake au gauni linaaacha sehemu ya mwili wake hasa mapaja.... wewe unaona tuu kawaida unahisi sababu ni fupi au ni fashion ya hio nguo...
Lakini akitokea mtu mwingine unaona anaanza kuziba ile sehemu iliyo wazi haraka haraka kama ni mapaja basi anabana miguu...
Unaanza kujiuliza alikua ANAKUTEGA au amekuona HAUNA MADHARA.