Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Ndo maana mahusiano ni vigumu Sana kudumu maana hivi vigezo vya kumridhisha mwanamke unaweza ukawa navyo kwa mda then hisia zake zikihama imekula kwako
Mbbali na hapo, ni kwamba mwanaume huwezi kuhandle hayo yote muda wote na miaka yote, fanya unachoweza tu na kilicho ndani ya uwezo wako asipoeleweka au kuridhika na wewe pita kishoto.
 
29. Wanawake ni wajeuri Kwa wanaume wasiowafikisha au kuwaridhisha kimapenzi. Hakuna mwanamke jeuri Kwa mwanaume anayemkojoza.


Noma sana!!!
Hii point itabaki kuwa Siri ya mwanamke kama unamridhisha ama not, maana wewe unajuaje kama unamridhisha, ni ngumu sana wewe kujua, Sisi wanawake tunahitaji tension ya hali ya juu kwenye hilo tendo lakini cha ajabu wanaume wanafanya hili jambo kimazoea. Hili ni kosa kubwa sana. Wanawake wanabaki kupretend tu kama wameridhika.
 

Labda Kama hujaenda Jando ndio hutojua, Mwanamke akifika mshindo anajulikana,
Mapenzi ni Sanaa na pia ni Taaluma, sio kila mtu kajaliwa
 
 
Niliwahi msifia mdada wa kwenye TV mbele ya mwanamke aisee palichimbikaaaaa.
 
Wanawake wanaenjoi zaidi wakiwa kwenye Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanapenda kuamuliwa zaidi kuliko mijadala.

Kama kuna ka ukweli hivi
 
Wanawake wanaenjoi zaidi wakiwa kwenye Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanapenda kuamuliwa zaidi kuliko mijadala.

Kama kuna ka ukweli hivi

Hii ni Kutokana hawapendi mtu asiye na maamuzi wala asiye na msimamo
 
Umenena vyema, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Alikupa somo zuri sana, mpaka pombe umeacha!
 
Duh! yote haya ni toleo la kwanza.......hatari na nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…