7. Wanawake kuna mambo wameyabinafsisha Kama Yao(miliki Yao) Mambo hayo ni UZURI, UREMBO, USAFI, MADEKO, MADAHA, MAPISHI, SAUTI NZURI, UTAMU, MAPOZI, MARINGO, N.K.
Mwanamke ukimsifia katika mambo hayo anajisikia Raha Sana kuliko unavyofikiria.
Ukimsifia mwanamke mwingine katika mambo hayo lazima Mwanamke wako atanuna kwani kila mwanamke anaona mambo hayo ni miliki yake.
Mfano, " Bebe wewe mtamu Kama chocolate"
"Una sauti nzuri Kama mlio wa zumari"
" Mtoto wewe Kwa kudeka umenishinda, yaani Kama mtoto mdogo"
" Napenda unavyoringa Kama Malkia vile, sikomi kukutazama"