Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Fafanua,... tension ya hali ya juu ipi?!
 
mmh,huu ni waraka wa mtume paulo kwa watesatholonike haki ya Mungu
 
mkeo hana shida we ndo una matatizo,mrudie mkeo
 
Mbbali na hapo, ni kwamba mwanaume huwezi kuhandle hayo yote muda wote na miaka yote, fanya unachoweza tu na kilicho ndani ya uwezo wako asipoeleweka au kuridhika na wewe pita kishoto.
Kutaka kumridhisha mwanamke ni SAwa na kutaka kuyathibiti mawimbi ya bahari
 
Sasa tuwasaidiaje wakati nyie wenyewe mpaka tunawapata tayari mmeshatukata stimu kilichobakia ni kiwakojolea na kisepa tuu.
 
Umejitahidi sana ila wanawake ni zaidi apo endelea kuchimba ila siku ukiwaelewa vizuri jiandalie kaburi andaa na pesa za kuendesha msiba kabisa awa viumbe sio wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…