Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Hii point itabaki kuwa Siri ya mwanamke kama unamridhisha ama not, maana wewe unajuaje kama unamridhisha, ni ngumu sana wewe kujua, Sisi wanawake tunahitaji tension ya hali ya juu kwenye hilo tendo lakini cha ajabu wanaume wanafanya hili jambo kimazoea. Hili ni kosa kubwa sana. Wanawake wanabaki kupretend tu kama wameridhika.
Fafanua,... tension ya hali ya juu ipi?!
 
mmh,huu ni waraka wa mtume paulo kwa watesatholonike haki ya Mungu
 
Duh aisee hii ndo maana halisi tutafika jehanam tumechoka kinyama....


Mimi Nilikuwa mlevi mzur nikilewa Sana pombe Kali Basi fujo lake Lazima ningombane na wife Kuna siku nimelewa nikamwita mjini tukanunua nyama tukachukua bodaboda moja kurudi home..tulipofika home me bado Nina arosto na konyagi nikamwambia wife we nenda kaandae mboga me narudi town Mara moja...alichonijib Sasa eti "wanaume wengine mnazurura Kama mnafirwa iliniuma Sana yaani mbele ya bodaboda nilichofanya nikamwacha nikaenda town kuongeza vitu jioni nilimpiga mpk akakoma ikabidi mwenyekiti was mtaa apewe taarifa kwamba naua Huku...

Ikashauriwa tuachane kwa muda...baadae wife anapiga Simu kwamba arudi me nishamuacha sina Tena hisia naye kwa lile tusi...nikimkumbusha lile tusi ye anasema mbona na Mimi Nilikuwa namtukana.ina maana ye hajuagi kutofautisha nikiwa sijalewa na nikiwa maji..huduma zote Nilikuwa nampatia Sasa nataka nijaribu MWanamke mfanyakazi aliyesoma Huku na Mimi nimekata pombe sinywi Tena toka litokee Hilo tukio Nina mwezi ili sasa nione na wao inakuaje niishi naye hata miezi mitatu nitawapa update.
mkeo hana shida we ndo una matatizo,mrudie mkeo
 
Mbbali na hapo, ni kwamba mwanaume huwezi kuhandle hayo yote muda wote na miaka yote, fanya unachoweza tu na kilicho ndani ya uwezo wako asipoeleweka au kuridhika na wewe pita kishoto.
Kutaka kumridhisha mwanamke ni SAwa na kutaka kuyathibiti mawimbi ya bahari
 
Hii point itabaki kuwa Siri ya mwanamke kama unamridhisha ama not, maana wewe unajuaje kama unamridhisha, ni ngumu sana wewe kujua, Sisi wanawake tunahitaji tension ya hali ya juu kwenye hilo tendo lakini cha ajabu wanaume wanafanya hili jambo kimazoea. Hili ni kosa kubwa sana. Wanawake wanabaki kupretend tu kama wameridhika.
Sasa tuwasaidiaje wakati nyie wenyewe mpaka tunawapata tayari mmeshatukata stimu kilichobakia ni kiwakojolea na kisepa tuu.
 
Umejitahidi sana ila wanawake ni zaidi apo endelea kuchimba ila siku ukiwaelewa vizuri jiandalie kaburi andaa na pesa za kuendesha msiba kabisa awa viumbe sio wa kawaida.
 
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili ila hzi akili tulizopewa bdo hazitoshi kuwaelewa [emoji3][emoji3]
JamiiForums2014714936.jpg
 
Back
Top Bottom