Hawa ndio wasanii bora wa Tanzania

Hawa ndio wasanii bora wa Tanzania

Hii ni kwa mujibu wangu mimi Student teacher na hakuna mtu anaye nipangia cha ku post.

Kwa anayependa muziki mzuri wenye ladha nzuri kwa upande wa bongo fleva ataungana nami kuwa hii ndiyo list ya wasanii bora wa bongo fleva (sijazipanga namba kulingana na ubora)

1.Ben Pol
2.Lameck Ditto
3.Chege
4. Mwana FA
5. mrisho Mpoto
6.Kassim Mganga
7. Barnaba
8.Stamina
9.Lady JD
10. Joseph Haule

Nimefunga list. kwa wale wenye timu zenu za instagram zisizo na kocha wala captain povu linaruhusiwa.

Pambana na hali yako
duuu
 
Jf imeingiliwa,haya mambo huku hatuyataki ninyi watoto.
Mkuu nipe heshima yangu ningesoma shule moja na dada yako pengine leo ningekua shemeji yako na ungekua unaishi kwangu kama unavyoishi leo kwa shemeji yako
 
Back
Top Bottom