Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
- Thread starter
-
- #21
si rafiki kwa afya, usitumie tenahata kinyesi kinaleta stimu
mkuu Darassa anabebwa na beat lkn si muimbaji mzuri japo si wakubezaUngelimuweka Darasa ningelikuwona we wa maana make Darasa anaimba classic música
Ahsante mkuu kwa kuheshimu mawazo yanguSawa.
mkuu anaitwa nani huyo nipate hiyo ladhaKuna yule aliyeimba "Usihofie wachaga" ana bonge la melody, sijui kwanini haonekani
duuuHii ni kwa mujibu wangu mimi Student teacher na hakuna mtu anaye nipangia cha ku post.
Kwa anayependa muziki mzuri wenye ladha nzuri kwa upande wa bongo fleva ataungana nami kuwa hii ndiyo list ya wasanii bora wa bongo fleva (sijazipanga namba kulingana na ubora)
1.Ben Pol
2.Lameck Ditto
3.Chege
4. Mwana FA
5. mrisho Mpoto
6.Kassim Mganga
7. Barnaba
8.Stamina
9.Lady JD
10. Joseph Haule
Nimefunga list. kwa wale wenye timu zenu za instagram zisizo na kocha wala captain povu linaruhusiwa.
Pambana na hali yako
Mkuu nipe heshima yangu ningesoma shule moja na dada yako pengine leo ningekua shemeji yako na ungekua unaishi kwangu kama unavyoishi leo kwa shemeji yakoJf imeingiliwa,haya mambo huku hatuyataki ninyi watoto.