hawa ndio wasanii wa bongo flava wanaoishi kwa wazazi wao mpaka sasa

hawa ndio wasanii wa bongo flava wanaoishi kwa wazazi wao mpaka sasa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1.suma lee
licha ya kutingisha jiji kwa song lake la hakunaga bado njemba hii inanyuti kwa baba yake maeneo ya kariakoo
2..barbana boy
licha ya kuwa na kiki mjini lakini kidume hiki kilizalia nyumbani na mtoto alilelewa na bibi mzazi mwenzake alikua shilole
4.jux huyu pia anatumia zaidi mpunga wa mama kufanyia promo ya nyimbo zake still njemba inaminya home japo yupo china ila akirudi movie linaendea kwa mama jux
5.dulayooo
nyumbani ni majumba sita na hakuna mipango ya kutoka hapo born home die home
6.gosbee
mama kwa huyu jank ndio kila kitu anaitwa agripina
7chidy benz chumaa
ni ilala pale maflat ghorofa ya juu kabisa
ongezea mwingine
 
Kwanza Namba moja uongo unaposema mpaka leo anaishi kwa wazazi wake tena kwa baba ake Kariakoo.
Suma lee alishafiwa na baba ake mzazi tangu mwaka jana akiwa nchini Uingereza na hakuwahi mazishi ya babaake alikuta wameshazika.
Kaoa muda mrefu na bado yupo na wife wake hapo labda useme anaishi nyumba ya urithi na ofcoz si mbaya kama wazazi hawapo akapange kwingine wakati nyumba ipo.

Barnaba anaishi na mzazi mwenzake mama Steve na ndio aliyezaa nae kama humjui nenda instagram kajaa tele na mama steve wake na steve wao. huyo shilole umeyatoa wapi.

Hapo wakuongezea ni TID naye mtoto wa mama.

NB. wengine kama Chid Benz mwenyewe kakiri mara nyingi tu kuwa ni mapenzi tu kwa mama ake ukiangalia anaishi tu na mama ake na mtoto wake Latifa kakaake alishazamia ng'ambo muda tu so hawezi hama kwao maana jaoni umuhimu wakuondoka na kumuacha bimkubwa mpweke wakati yeye ajaoa na anampenda bimkubwa aje na anamsaidia hata houseworks kama kupika Chid kwake si kitu cha ajsbu.
 
Barnaba anaishi na mzazi mwenzake mama Steve na ndio aliyezaa nae kama humjui nenda instagram kajaa tele na mama steve wake na steve wao. huyo shilole umeyatoa wapi.

Barnaba kwenye mkasi alieleza mwenyewe amepanga,na alihojiwa akasema anaishi na mkewe na nyumba yake ipo kwenye ujenzi soon atahamia kwake,sasa huyu sijui story gani anaeleza.
Mtu ambaye sijui kama anaishi kivyake au kwa mama ni Mr.Blue.
 
Mfano wazaz hawana m2 wa kuwaangalia kwan ukiish nao vbaya
 
Barnaba kwenye mkasi alieleza mwenyewe amepanga,na alihojiwa akasema anaishi na mkewe na nyumba yake ipo kwenye ujenzi soon atahamia kwake,sasa huyu sijui story gani anaeleza.
Mtu ambaye sijui kama anaishi kivyake au kwa mama ni Mr.Blue.

Mr Blue naye mama ake alushafariki tangu mwaks juzi yeye akiwa Zenji kwenye tamasja moja hivi sijui lilikuwa la ZiFF kama sikosei... Kwamaana hiyo badi atakuwa anaishi kwao nyumba ya urithi na sio kwa mamaake
 
Back
Top Bottom