Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Yote maisha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtu kuishi kwao iko mbaya gani.
Na je kama we ndie mtoto wa mwisho pia inatakiwa uondoke kwenu. Home is the place to be.
"Home is where ur heart belongs" siku moja nitarudi tena nyumbani!!
Sidhani kama ni kweli maana nachojua alikuwa mpenzi wake tu na wala hata hawakuzaa
baadhi ya watanzania kama ww wana akili fupi sana due to lack of exposure
kuna kosa gani kuishi wka wazazi wako?? si wazazi wake?? waliomleta hapa duniani? kama wako comfortbale na nyumba kubwa na yeye karidhika, why bother??
tutajenga mpaka wapi?? at the top of kilimanjaro??
ukienda nchi za dunia ya kwanza ni aghalabu kwa kijana kuwaza kujenga nyumba , kama haishi ya wazazi wake basi ya serikali, na wanaishi vizuri wanatanua....
sio nyie mnawaza kujenga na kuzeeka mapema kwa stress za kujenga nyumba
get life, mind your own bizs
barnaba na shilole hawajazaa pamoja
Muongo huyo hiyo namba moja na mbili zote uongo sijui kajitungia
Muongo huyo hiyo namba moja na mbili zote uongo sijui kajitungia