baadhi ya watanzania kama ww wana akili fupi sana due to lack of exposure
kuna kosa gani kuishi wka wazazi wako?? si wazazi wake?? waliomleta hapa duniani? kama wako comfortbale na nyumba kubwa na yeye karidhika, why bother??
tutajenga mpaka wapi?? at the top of kilimanjaro??
ukienda nchi za dunia ya kwanza ni aghalabu kwa kijana kuwaza kujenga nyumba , kama haishi ya wazazi wake basi ya serikali, na wanaishi vizuri wanatanua....
sio nyie mnawaza kujenga na kuzeeka mapema kwa stress za kujenga nyumba
get life, mind your own bizs