Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu