Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Asiyeumba haumbui.Hilo dude limekuwa kama dudu washa.
Mijitu minene sijui ikoje, haijioni kwenye kioo?
Mamayo alijitibu maradhi ya tumbo kwa kukuzaa wewe. Ni dhahiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyeumba haumbui.Hilo dude limekuwa kama dudu washa.
Mijitu minene sijui ikoje, haijioni kwenye kioo?
Lulu si nae mshirika, ndo nimewaza asije muovertake dereva shishSijajua mwaya, asa mbona unanichenga kiaina? Nipe ubuyu huo bwana.
Tena mshirika mzoefu!Lulu si nae mshirika, ndo nimewaza asije muovertake dereva shish
Ni vema siku nyingine akaongozana na chawa maarufu, na asimwache chawa kiongozi Lucas Mwashambwa, ili angalao nao wawe na cha kusimulia maishani mwao kuwa kujitoa kwao akili kulifikisha mpaka mataifa ya kigeni ambako hawakuwahi hata kufikiria.Hivi nyie Buku 7 fc wa jf ni lini mama ataambana nanyi mkajifunze namna ya kupinga hoja za Chadema?
😅😀😂😀😀😂Kuna watu bado wanataka agombee, are they crazy?
NakaziaYaani kiongozi wangu anafanya madudu lakini Aibu naona Mimi,
Yeye hata hastuki🤔
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri. Endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharihia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."Kwa aina hii ya watawala, aisee maendeleo ya kweli yatabakia kwa wenzetu wenye ngozi nyeupe pekee! Waafrika nahisi tumelaaniwa.
Hv nchi hii nani asiyekujua we nyumbu mpotoshaji. Mbwa tu ww tumekuzoea,
Huyu mwenye kuchaa anashindwa kuondoa huo uchafuu kuonyesha heshima kwa Raisi. Au ndio kaambiwa ukiwa hivyo wewe ni bombaKingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
This is bullying sio nzuri huyo dada amefanya kipi kibaya jamani?Hilo dude limekuwa kama dudu washa.
Mijitu minene sijui ikoje, haijioni kwenye kioo?
🤣 🤣 🤣 🤣Yaani kiongozi wangu anafanya madudu lakini Aibu naona Mimi,
Yeye hata hastuki🤔
Rais wa aina yake kutokea chini ya jua!!!Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Ataenda msanii Sugu Moto Chini 😄🔥Hivi nyie Buku 7 fc wa jf ni lini mama ataambana nanyi mkajifunze namna ya kupinga hoja za Chadema?