Hawa ndio Wasanii walioongozana na Rais ziarani Korea, Je Mnawafahamu na Wameenda kufanya nini?

Hawa ndio Wasanii walioongozana na Rais ziarani Korea, Je Mnawafahamu na Wameenda kufanya nini?

Hivi nyie Buku 7 fc wa jf ni lini mama ataambana nanyi mkajifunze namna ya kupinga hoja za Chadema?
Ni vema siku nyingine akaongozana na chawa maarufu, na asimwache chawa kiongozi Lucas Mwashambwa, ili angalao nao wawe na cha kusimulia maishani mwao kuwa kujitoa kwao akili kulifikisha mpaka mataifa ya kigeni ambako hawakuwahi hata kufikiria.
 
Kwa aina hii ya watawala, aisee maendeleo ya kweli yatabakia kwa wenzetu wenye ngozi nyeupe pekee! Waafrika nahisi tumelaaniwa.
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri. Endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharihia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini enzi za Utawala wa ubaguzi rangi
 
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?

Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?

Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?

Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

View attachment 3005691
Huyu mwenye kuchaa anashindwa kuondoa huo uchafuu kuonyesha heshima kwa Raisi. Au ndio kaambiwa ukiwa hivyo wewe ni bomba
 
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?

Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?

Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?

Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

View attachment 3005691
Rais wa aina yake kutokea chini ya jua!!!

Tumekoma
 
Mama Samia kapendeza sana 😍😍😍
Muacheni mama yetu. Nampenda sana. Nilikua namchukia mwanzoni. Nikajipa nafasi ya kutafakari. Nikasema HAPANA!
 
Back
Top Bottom