Hawa ndio Wasanii walioongozana na Rais ziarani Korea, Je Mnawafahamu na Wameenda kufanya nini?

Naona maandalizi ya uchafuzi wa 2025 yameanza mapema. Kwa sasa hongo inatembezwa kila eneo lenye athari ya moja kwa moja kwa wapiga kura wa huo uchafuzi, na kwa kutumia njia mbalimbali.
 
Hilo dude limekuwa kama dudu washa.
Mijitu minene sijui ikoje, haijioni kwenye kioo?
Huyu ana sifa zoote za kuwa mama yako hivyo hata kama hukubaliani nae kwenye mambo yake kiuongozi, mkosoe bila kumtukana personally, hii kidogo sio sawa..
Critise her constructivelly and objectivelly ili kujenga.
Ni mama wa mtu pia yeye
 
Kusema ukweli huyu mama, miradi yake yote anayoianzisha (achana na aliyoikuta) ni ile inayowapa mzigo wananchi. Mfano mradi wa nishati safi mzigo ni wa wananchi, ukusanyaji wa kodi kupitia mitandao, matumizi ta PEPMIS mzigo ni kwa watumishi.
Hakuna mradi unaowapa nafuu wananchi wa tabaka la chini. Kama upo nitajieni!
 
Du hawa vyangudoa nao ni wasanii? Mungu anakuona chifu Hangaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…