Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

King hayupo hapo sababu hapendi show-ofu ila thamani ya mapetepete yake yanakadiriwa kufikia bilioni 100!
 
Acha sound bab unamjua mopao ww? Unamjua keita ww? wa Mali ww je unamjua Casper nyovest
Punguza mahaaba bab
 
Anavyopenda misifa yule angekua keshairusha fasta page zake zote kwan hatumjui...za mashabik kutunga huwa hazirush
 
Hapo kwa diamond ni uongo kabisaa unamuachaje IYANYA,2FACE,D.BANJ NA MR.FLAVOR
 
Unatakiwa uwe updated usikalili acha Dogo awakimbize nataraji mwKani ndo atakuw anaongoza list
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mfano ikitokea Alikiba ameshika namba 1 mwakani itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…