Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

Huu ni UONGO tena UONGO!! Simuoni Chameleon, Fally Ipupa, Kofi Olomide wala Yule Youssou N'dour [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mtoa mada ukiona huna chakufanya chana nguo na ushone
NB: Sipendi ujinga mm


~Cmb
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mfano ikitokea Alikiba ameshika namba 1 mwakani itakuwaje?
Alikiba ashike namba moja kwa kipato kipi

Show zenyewe za kabahatisha show moja baada ya miaka mitatu
 
Huu ni UONGO tena UONGO!! Simuoni Chameleon, Fally Ipupa, Kofi Olomide wala Yule Youssou N'dour [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mtoa mada ukiona huna chakufanya chana nguo na ushone
NB: Sipendi ujinga mm


~Cmb
Hiyo ni yako, lkn according to edaily Kenya list yao ni hiyo apo juu....kama vipi na ww njoo na list yako
 
Chameleon alikuwa zaman lkn asa iv domo anawakimbiza mbaya hakuna cha chameleon wala mdogo wake chameleon
Baki hvyo hvyo na ubishi wko
Jamaa ana nyumba SA, UG, USA, CANADA,
Hyo magari ndyo uchafu ss
Platnumz ana gari gani? Au ile X6 ? Piga kimya kujana utachekwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni yako, lkn according to edaily Kenya list yao ni hiyo apo juu....kama vipi na ww njoo na list yako
Sasa Mkuu waTEKENYWA ni watu wa Kuwasikiliza? Km walisema Mlima Kilimanjaro upo Kenya, Daraja la kigamboni lao ww Unatega sikio kuwasikiliza!! Huoni km wamempgia debe Akothee hpo!! Kwnza hyo akothee ana nymbo mbovu cjapata kuona na sizielew hta Maua Sama Hamfikii ( HAINA UBISHI)


~Cmb
 
Mkuu isho_boy,

Nadhani unafahamu mimi ni WCB 'kindaki ndaki' lakini hiyo list huyo mwandishi amekosea sana.. Kimuziki ukiniuliza wasanii watatu wakali Afrika kwa mwaka 2016 nitakwambia Chibu ni mmoja wapo, lakini ukiniuliza wasanii 10 wenye hela Afrika.. Nakuhakikishia Diamond hayumo.. Nitatoa sababu

Hiyo list imefanya uchambuzi juu juu sana pasipo kuzingatia masuala muhimu.. Wamefanya makosa yafuatayo;

1. Kuna methodology zinazotumika kupata 'net woth' ya mtu na moja ya vitu vya msingi kabisa unavyotakiwa kuviepuka ni kutojumuisha 'primary residence' (nyumba anayoishi) katika mahesabu ya networth..
Hii ndio njia ndio inatumika na Forbes kukokotoa utajiri wa mtu! Hautakiwi kujumuisha vitu binafsi (nyumba anayoishi, gari anayotembelea na vitu kama hivyo)

Unachotakiwa kukokotoa ni 'vitega uchumi' na fedha zilizopo bank au shares kwenye makampuni..
Kwamfano hapo wanasema akothee ana utajiri wa biln 132.. Kiuhalisia makampuni ya Akothee huko Kenya yana valuation ya dola milioni 10 pekee lakini ukijumlisha na nyumba ya Switzerland aliyopewa mwanzoni mwa mwaka ndio labda unapata hiyo figure (nyumba inasemekana ina valuation ya dola milioni 50).

Sasa kwa standard za Forbes kwa mfano unatakiwa ukokotoe valuation ya makampuni yake pekee pasipo kujumlisha nyumba yake UNLESS nyumba ile haishi bali anaitumia kibiashara. (Kukodisha, kupangisha n.k)

Kosa hilo hilo wamelifanya kwa chibu kujumlisha ikulu yetu ya Madale na Jumba la Pretoria. Zile ni primary residence haziingii kwenye hesabu za net worth. Wanachotakiwa kufanya ni kufanyia valuation kampuni ya WCB kisha kukokotoa thamani ya shares za Chibu kwenye WCB ndio wajumlishe kwenye hesabu za net worth yake.
Tatizo la masupastaa wetu wengi Africa ni kutozifanyia valuation kampuni zao, ndio maana huwezi kukuta matajiri wakubwa wanaenda kuwekeza kwa kuingia ubia au kununua shares kwenye kampuni zao.. Tajiri anaye jielewa kabla hajawekeza mahali kwanza anataka kujua thamani ya hiyo kampuni..
Yani mfano umshtukize Simba sasa hivi umuulize WCB market value yake ni kiasi gani?? Hajui..

Kingine hiyo mikataba ya voda, sijui dstv, sijui Coca cola, nayo wamechukulia juu juu.. Wamejumlisha tu tawajaondoa kodi ya serikali aliyolipa baada ya yeye kulipwa, hawajaondoa 'kipande' cha akina babu tale, sallam, fella, Zari.. Unaona kosa hilo??

Kwenye kiwango cha malipo ya shoo ndio wamebugi kabisa?? Eti diamond analipwa mln 25 kwa show akiwa ndani ya nchi?? Nani kakwambia?? Ameshavuka hicho kiwango.. Ni dhahiri huyo mwandishi amechukua habari za kwenye mablogu pasipo kutafiti!


2. Kwa Nigeria ndio wamevurunda kabisa! Mfani Don Jazz ana utajiri mkubwa kuliko Wizkid na Davido, kwanini hayuko kwenye list? Vipi kuhusu Banky W?? D'banj??

Tutofautishe kuwa maarufu au kuhit kwenye chart za muziki na utajiri. Ndio maana drake anahit zaidi ya Diddy lakini kwenye hela anasubiri miaka mia nane.
Hii ndio kama Don Jazz huyu jamaa amejijenga haswa kibiashara, Davido na Wizz bado sana kumfikia kwa fedha..

Alafu huyo mwandishi amewahi kumsikia mtu anaitwa Fally Ipupa??

Alafu kwanini anaandika kuhusu wasanii wenye utajiri mkubwa alafu hamjui hata msanii ambaye ndiye mwenye utajiri kuliko mwanamziki yeyote yule Afrika!! Ina maana hamjui Youssou Ndour?? Huyu ndiye mwanamziki tajiri zaidi Afrika..


Kama nilivyosema mimi ni WCB kindaki ndaki na lengo langu sio kuponda Chibu, ila tukiamsifia kwa vitu vya uongo tunamuharibu, atabweteka wakati vitu vyenywe vya uongo.. Tukimwambia ukweli kama hivi ndio ataendelea kupambana na sisi tulio karibu nae tunaongeza vitambi..


The Bold.

# WCB # Winners Cycle
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka huu amepiga show MTV.. ameshapanda majukwaa makubwa na kina Chriss brown
Amepanda majukwaa mangapi na akina Chris brown
 
Akothee ni tajiri ata kabla hajaanza kuimba anaimba for fan haimbi kupata ajira upo
 
Upo Sahihi
 
6. Kluger ( Tsh. Billion 8, 382, 980, 120.67)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…