Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

We Diamond? Npm nikupe dilli ya show apa mtwala
 
Hakuna research kama hizo.......... its a hoax. Numbers dont work that way.. Yani Akothe anamzidi Davido hela......

Basi kama ndivyo then tusibishe watu wakisema Ali Kiba anamzidi hela Platnumz.
We nawe acha ushamba Mkuu unashangaa akothe kumzidi hela davido....
Mbona Adele kamzid hela Beyonce hiyo kawaida sana
 
Baki hvyo hvyo na ubishi wko
Jamaa ana nyumba SA, UG, USA, CANADA,
Hyo magari ndyo uchafu ss
Platnumz ana gari gani? Au ile X6 ? Piga kimya kujana utachekwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo x6 we unayo mkuu
 
Kweli tunawatamzania wajinga. Tangu lini utajiri wa mtu unakuwa determined kwa miaka waliokuwa kwenye game? Wizy kid kaingia kwenye game lini?

Unashindwa kuelewa kuwa hapa utajiri unakuwa determined na asset alizonazo mwanamziki ila sio zile zitokanazo na mziki pekee hata biashara nyingine.
 
Kama Ali Kiba hayupo ondoa hii list. Anyway kwanza hapendi show off
 
Mkiambiwa domo kanunua tuzo, views mashabiki na mengneo ya kufanana na ayo mnajaa lkn mkiletewa utajiri wake mnaanza kuweweseka acheni dawa iwaingie

Go chibu go chibu mwaka ni nataman inshallah usiishie namba tano tu nataman uongoze kabisa iyo list ili awa haters wazidi umia maana naona hawajalla kabisa leo
 
We nawe acha ushamba Mkuu unashangaa akothe kumzidi hela davido....
Mbona Adele kamzid hela Beyonce hiyo kawaida sana
Sasa we unashangaa Adele kumzidi hela Beyonce....!??
 
List halisi na ya ukweli ni hii
1.YOUSSOU NDOUR-SENEGAL
2.P-SQUARE-NIGERIA
3.D BANJ-NIGERIA
4.KOFFI OLOMIDE-CONGO
5.SEIF KEITA-MALI
6.FALLY IPUPA-CONGO
7.2 FACE IDIBIA-NIGERIA
8.HUGH MASEKELA
9.BANK W-NIGERIA
10.JOSE CHAMELEON-UGANDA.
Hii nimeifuma pahala, binafsi hii ndio yenyewe. Tatizo wengi wanasoma site zenye vyanzo visivyo rasmi bila kujua kuwa kupata kitu sahihi kutoka google sio rahisi kama wengi wanavyodhani. Google ina kila aina ya missleading sites, inahitajika juhudi binafsi kupata kitu sahihi kutoka google.
 
Iyo list ya 2010 uko so esabu kuna miaka mingapi apo imepita je unahisi ndo wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…