Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

Pole sana kwa umasikini
 
Eti ukisema Diamond ana pesa wanakataa. Ila ukisema Diamond ananunua tuzo, viewers,neyo,mtv,producer Abydad e.t.c wanakubali. Na mwisho unajiuliza huwa ananunulia mawe au?
 
Eti ukisema Diamond ana pesa wanakataa. Ila ukisema Diamond ananunua tuzo, viewers,neyo,mtv,producer Abydad e.t.c wanakubali. Na mwisho unajiuliza huwa ananunulia mawe au?
Kati ya watu ambao hawajielewi basi ni watu wanaomshabikia mzee wa tembo
 
Jamani muwe mnasoma habari yote na kuielewa kabla ya kubisha,MADA INAWATAJA WASANII WALIOPIGA PESA NDEFU MWAKA HUU,SIO KWAMBA HAO NI MATAJIRI KULIKO WASANII WOTE WA AFRICA,JAPO WAPO WALIOMATAJIRI NA WAKAENDELEA KUPIGA PESA MWAKA HUU.
Asante
 
Unajiona ulivo boya ushabiki umekujaa adi mku...... iv unajua thamani ya kituo cha clouds FM au unaropokwa tu
Wewe ni Zaidi Ya Boya,Nani alikwambia Clouds inamilikiwa na Ruge? Upo tu kiushabiki hauna lolote unalojua kuhusu maswala yanayohusu uchumi na fedha maana bado huna akili na ndio maana wakaona wakulipe buku 2 kwa siku na kuwekewa bundle kuja kumtetea boss wenu,Hapa tunazungumzia net worth,fedha wanayobaki nayo baada ya madeni ya bank....Hiyo mili 20 anayolipwa domo kwenye show ina watu kama 20 wanaipiga karata hadi na wewe una mgao wa buku 2 humo.
 
Pole sana kwa umasikini
Hongera Sana kwa Utajiri,Watu wasiowahi kushika fedha mna tabu sana hivi mnaijua bilioni kweli nyinyi? Au ndio nyinyi mtu akija na gari ya mili 30 akawapa offer ya bia akisema bank ana milioni 800 mnakubali kiboya boya tu...Tafuteni Pesa nyinyi.
 
Maelezo yako tu yanatosheleza kuonyesha ni jinsi gani ulivomweupe kichwani
 
Maelezo yako tu yanatosheleza kuonyesha ni jinsi gani ulivomweupe kichwani
Wewe Ndio Galasa yaani na MaMbuPu yananing'inia na unaamini kabisa boss wenu ana utajiri wa bilioni 9 Ha Ha ha haaaaaaa Nacheka kwa Dharauuu yeah!
 
Unajua p square wan mda gani kwenye game....pole pole domo atawakamata tu
Kuwa kamata p2 inakuwa kazi kubwa jamaa wamewekeza pesa zao kwenye visima vya mafuta ndomaana wanapanda chart kila siku hasa ndugu yetu ni mziki kwake ndo kila kitu
 
Hongera Sana kwa Utajiri,Watu wasiowahi kushika fedha mna tabu sana hivi mnaijua bilioni kweli nyinyi? Au ndio nyinyi mtu akija na gari ya mili 30 akawapa offer ya bia akisema bank ana milioni 800 mnakubali kiboya boya tu...Tafuteni Pesa nyinyi.
Wewe kweli hamnazo hivi kwa mtu mwenye pesa ukimwambia bilioni atashangaa?
Ila maskini wa akili kama wewe unaemini kuna vitu haviwezekani kwa sababu wewe umeshindwa basi kila mtu hataweza kumiliki
 
Kweli pata pesa tujue tabia yako. Yan diamond anaingia mara 30 kwa pesa ya psquare. !!!!!!!!! Ila kwa mbwebwe anawazidi mara 100
Diamond akinunua kitu wabongo mnasema ni mbwembwe wakinunua wengine ni utajiri, ebu fikiria angenunua jet yake kama psquare si mngesema anapenda sifa.
Psquare wenyewe wana mbwembwe walivyonunua apartments u.s.a walipost, walivyonunua ndege walipost, walivyojenga mijengo yao walipost, hata walikuwa na ugomvi mitandaoni ila kwao haionekani kama ni mbwembwe
 
Hawa wazee wa mbeleko Shida sana wakiambiwa mond ananunua tuzo, view, mashabiki, anahonga media zipige nyimbo zake wanakubali na kuamini kabisa njoo watajiwe utajiri alionao mshikaji utawaona mishipa ya shingo inavosimama

Akinunua kitu wana sema show off lkn akinunua chameleon na kupost watapost siku nzima so huwa nashangaa wanataka nn.....tukija kwny tuzo mond akipata kanunua au janja janja wenyewe wakipata wana deserve huwo c ni ujinga kabisa kiwango cha lami
 
Kuwa kamata p2 inakuwa kazi kubwa jamaa wamewekeza pesa zao kwenye visima vya mafuta ndomaana wanapanda chart kila siku hasa ndugu yetu ni mziki kwake ndo kila kitu
Ww unajua kawekeza nini na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…