Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Njoo Msoga utapata Majibu [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hiyo x6 we unayo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Msoga utapata Majibu [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hiyo x6 we unayo mkuu
Na wewe mchukue ZariTena iyo billn 9, 50% ni ya zari
Pole sana kwa umasikiniMtoa mada nina wasiwasi na upeo wako kuhusu mambo ya fedha,inawezekana bilioni hauijui inafana na nini,ngoja nikuelimishe,Bilioni moja ni sawa na milioni elfu 1.
Sasa unavyotulisha chaka kwamba Diamond ana utajiri wa Bilioni 9 labda ni Za Zimbabwe.NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI KWAMBA DIAMOND ANA UTAJIRI WA BILIONI 9,Hata Ukijumlisha utajiri wao wote wasafi including Zari, Babu Tale,Sallam,Mkubwa Fela,Ruge haufiki bilioni 9.
Kati ya watu ambao hawajielewi basi ni watu wanaomshabikia mzee wa temboEti ukisema Diamond ana pesa wanakataa. Ila ukisema Diamond ananunua tuzo, viewers,neyo,mtv,producer Abydad e.t.c wanakubali. Na mwisho unajiuliza huwa ananunulia mawe au?
AsanteJamani muwe mnasoma habari yote na kuielewa kabla ya kubisha,MADA INAWATAJA WASANII WALIOPIGA PESA NDEFU MWAKA HUU,SIO KWAMBA HAO NI MATAJIRI KULIKO WASANII WOTE WA AFRICA,JAPO WAPO WALIOMATAJIRI NA WAKAENDELEA KUPIGA PESA MWAKA HUU.
Wewe ni Zaidi Ya Boya,Nani alikwambia Clouds inamilikiwa na Ruge? Upo tu kiushabiki hauna lolote unalojua kuhusu maswala yanayohusu uchumi na fedha maana bado huna akili na ndio maana wakaona wakulipe buku 2 kwa siku na kuwekewa bundle kuja kumtetea boss wenu,Hapa tunazungumzia net worth,fedha wanayobaki nayo baada ya madeni ya bank....Hiyo mili 20 anayolipwa domo kwenye show ina watu kama 20 wanaipiga karata hadi na wewe una mgao wa buku 2 humo.Unajiona ulivo boya ushabiki umekujaa adi mku...... iv unajua thamani ya kituo cha clouds FM au unaropokwa tu
Hongera Sana kwa Utajiri,Watu wasiowahi kushika fedha mna tabu sana hivi mnaijua bilioni kweli nyinyi? Au ndio nyinyi mtu akija na gari ya mili 30 akawapa offer ya bia akisema bank ana milioni 800 mnakubali kiboya boya tu...Tafuteni Pesa nyinyi.Pole sana kwa umasikini
Watanzania kwa kupondaaTena iyo billn 9, 50% ni ya zari
Kweli pata pesa tujue tabia yako. Yan diamond anaingia mara 30 kwa pesa ya psquare. !!!!!!!!! Ila kwa mbwebwe anawazidi mara 100
Maelezo yako tu yanatosheleza kuonyesha ni jinsi gani ulivomweupe kichwaniWewe ni Zaidi Ya Boya,Nani alikwambia Clouds inamilikiwa na Ruge? Upo tu kiushabiki hauna lolote unalojua kuhusu maswala yanayohusu uchumi na fedha maana bado huna akili na ndio maana wakaona wakulipe buku 2 kwa siku na kuwekewa bundle kuja kumtetea boss wenu,Hapa tunazungumzia net worth,fedha wanayobaki nayo baada ya madeni ya bank....Hiyo mili 20 anayolipwa domo kwenye show ina watu kama 20 wanaipiga karata hadi na wewe una mgao wa buku 2 humo.
Wewe Ndio Galasa yaani na MaMbuPu yananing'inia na unaamini kabisa boss wenu ana utajiri wa bilioni 9 Ha Ha ha haaaaaaa Nacheka kwa Dharauuu yeah!Maelezo yako tu yanatosheleza kuonyesha ni jinsi gani ulivomweupe kichwani
Ww endelea kujitekenyaWewe Ndio Galasa yaani na MaMbuPu yananing'inia na unaamini kabisa boss wenu ana utajiri wa bilioni 9 Ha Ha ha haaaaaaa Nacheka kwa Dharauuu yeah!
Kuwa kamata p2 inakuwa kazi kubwa jamaa wamewekeza pesa zao kwenye visima vya mafuta ndomaana wanapanda chart kila siku hasa ndugu yetu ni mziki kwake ndo kila kituUnajua p square wan mda gani kwenye game....pole pole domo atawakamata tu
Wewe kweli hamnazo hivi kwa mtu mwenye pesa ukimwambia bilioni atashangaa?Hongera Sana kwa Utajiri,Watu wasiowahi kushika fedha mna tabu sana hivi mnaijua bilioni kweli nyinyi? Au ndio nyinyi mtu akija na gari ya mili 30 akawapa offer ya bia akisema bank ana milioni 800 mnakubali kiboya boya tu...Tafuteni Pesa nyinyi.
Diamond akinunua kitu wabongo mnasema ni mbwembwe wakinunua wengine ni utajiri, ebu fikiria angenunua jet yake kama psquare si mngesema anapenda sifa.Kweli pata pesa tujue tabia yako. Yan diamond anaingia mara 30 kwa pesa ya psquare. !!!!!!!!! Ila kwa mbwebwe anawazidi mara 100
Hawa wazee wa mbeleko Shida sana wakiambiwa mond ananunua tuzo, view, mashabiki, anahonga media zipige nyimbo zake wanakubali na kuamini kabisa njoo watajiwe utajiri alionao mshikaji utawaona mishipa ya shingo inavosimamaDiamond akonunua kitu wabongo mnasema ni mbwembwe wakinunua wengine ni utajiri, ebu fikiria angenunua jet yake kama psquare si mngesema anapenda sifa.
Psquare wenyewe wana mbwembwe walivyonunua aparents u.s.a walipost, walivyonunua ndege walipost, walivyojenga mijengo yao walipost, hata walikuwa na ugomvi mitandaoni ila kwao haionekani kama ni mbwembwe
Ww unajua kawekeza nini na niniKuwa kamata p2 inakuwa kazi kubwa jamaa wamewekeza pesa zao kwenye visima vya mafuta ndomaana wanapanda chart kila siku hasa ndugu yetu ni mziki kwake ndo kila kitu