Hawa ndio watoto wa Shishi kiuno

Hawa ndio watoto wa Shishi kiuno

Status
Not open for further replies.

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
1474664211739.jpg

Kwa wale ambao mlikuwa hamuwajui watoto wa Shilole (Shishi), basi hawa ndio watoto wake, sema chochote.
 
Kweli kabisa mkuu matatizo matupu,we vuta picha watoto wataiga nn kwa shishi kwa mwendo huu, kama mavazi yenyewe ndio hayo pamoja na skendo zisizokwisha kila kukicha
Mtoto ni kama sponge hunyonya maji machafu na masafi! Kibaya ni kwamba maji masafi hayana harufu lakini machafu yana harufu kali hasa yakioza
 
Shilole anawaambia wanawe wasiige anachofanya maana amechagua hiyo njia ili wao wapate ada na ugali wa siku, so wanaweza kuwa watoto wema
 
Nampongeza huyu Dada kwa kuwalea watoto hadi wamekua hivi. Kazi afanyayo ni kazi halali. Usanii maana yake pana hata uigizaji. Tabia halisi ya mtu anaijua MTU mwenyewe. Namtakia mema aendelee kuwakuza watoto na kuwapa haki ya Elimu na malezi bora kwa faida yao ya baadae.
 
Yaaah amejitahidi sana maana analea watoto peke yake pasi na kushikwa mkono na mzazi mwenzake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom