Kuna mdada aliwah mwambia jamaa yetu kuwa mimi sio mzuri,ujiandae kukutana na mtu wa kawaida,jamaa yetu akamjibu wala hata usiwe na shaka nimelizika kuwa na wewe,nitakupenda hata ukiwa vipi
Basi walikuwa wakipigiana simu na chat za mara kwa mara,mapenzi moto moto na yule dada ilionekana ni mtu mwenye pesa yaan alikuwa vizur kiuchum
Basi siku ya kuonana ikafika,ile wamefika kituoni jamaa yetu ikabid ajifiche kwanza ili amuone kwanza huyo mwanamke mwenyew,anasema alipomuona tu alishindwa kuvumilia ikabid akimbie na simu akazima,anasema yule dada alikuwa mbaya balaa sura kama ya iddi amini na kapanda hewani,