Hawa ndio watu wa โ€˜Love Connectโ€™

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Huyo dada sio mm kweli nilikimbiwa๐Ÿ˜‚
 
Mimi natongozaga ninao waona. Siwezi tongoza nisie mjua kwa kumuona
Watu wanafanikiwa bt kumpata yule uliyemu-imagine kichwani mwako[emoji22] ndio tatizo.

Shida ya love connect unanza kujenga lipicha lako kichwani the way unavyo wasiliana na huyo soul mate wako, sasa[emoji23] siku ya kuonana Ooh! My God![emoji23][emoji23] Unakutana na mtu unaona huyu ulimuona kwenye movie ya wrong turn kama sio the walking dead

Cheeh....
 
Hili la kukimbiana linatokea mara nyingi kuliko watu wanavyodhania. Mimi nimesimuliwa na msichana mmoja. Anasema baada ya kuwasiliana kwa meseji na email, walipanga kuonana na jamaa sehemu. Msichana alifanya huo huo ujanja i.e. alitangulia mapema sana kabla ya ule mda waliopanga halafu akabana kwa mbali kidogo kwenye kona. Akasema muda ulipofika akampigia na kumwambia yuko njiani hivyo amwekeze alikokaa (kumbe yuko pale karibu anachunguza). Ghafla akaona bonge nyanya fulani lina kitambi kikubwa (sorry kwenye wenye vitumbo) limebana sehemu linampa maelekezo. Alitimua kama ameona koboko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ