Hawa ndio watu wa ‘Love Connect’

😂😂
 
Hujafa hujaumbika
 
Tatizo linakuja hapo kwenye kujenga picha Yako kichwani
Mahusiano ya kuanzia kwenye chart room za social media siyo kabisa. Ni wengi walikuwa wanachati kwa mahaba na waliodhania kuwa ni wenza watarajiwa lakini siku ya kukutana uso kwa uso mmoja akatoka baru. Pamoja na kuwa siku hizi kuna video calls na ku-share picha lakini nilichogundua kuna watu (hasa wanawake) wataalam kweli kweli kwenye kupiga picha waonekane ni warembo kuliko walivyo. Halafu wanajua sana kuficha sehemu ambazo wanaona hazivutii na kuonyesha sehemu zenye mvuto. Au ku-edit picha.
 
Ndio bro, mwanamke anaweza kupiga picha ya snap ikipostiwa tu unapagawa, sasa kimbe mbe ukionana nae aisee
 
Huyu jamaa katekwa sio mapenzi yake, ndio maana unaona kwenye picha kuna mwamnba mwingine amekaa akicheki usalama
 
Huyu jamaa katekwa sio mapenzi yake, ndio maana unaona kwenye picha kuna mwamnba mwingine amekaa akicheki usalama
Love connect baba, umeenda bila timing Mzee, mama kagundua unataka usepe akaona hii haikubaliki.

Usipokua makini hata Ndoa unafungishwa hapo
 

Shida ni kwamba filter ni nyingi siku hz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…