Hawa ndio Yanga tunaowafahamu

Hawa ndio Yanga tunaowafahamu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Kuna kauli aliitoa Haji kuwa pale yanga wenye akili ni wawili tu,na akawaorodhesha

1. Jakaya Kikwete.

2.Sunday Manara(baba yake haji)

Sasa fikiria kipindi waTANZANIA wanampa ng'ombe ndugu mayele walikuwa na UPENDO.
Ila leo WATANZANIA haohao wamejitokeza kumpa mil 1 ndugu GEORGE MPOLE MFUNGAJI BORA WA NBC PL wanasema ni UBAGUZI ,ukizingatia ni mzawa na anatokea katika timu ya kawaida GEITA GOLD.

Hawa jamaa ni vigeugeu sana, hawaaminiki uto,
Hata ukiangalia majority ya washabiki wao, mimi mwanangu akiwa shabiki wa utopolo namfukuza nyumbani ni laana.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Na manabii nao wapo?

Daah kweli hii ni timu ya wananchi

Wananchi zingatieni ujumbe wa nabii kwenye hicho kibao maana naona nabii kaja kuwakemea zile habari za kabwili zilizo trend hapo majuzi kati
 
Hichi ndio mlicho bakiza story za kijinga jinga wakati wenzenu wapo uwanjani Leo nyie mnataftq kitu cha kuwafariji
 
Huu muda wa kuandika upuuzi mnatoa wap makolo?kajiungeni ata ndondo cup basi ili mpunguze makasiriko
 
Kuna kauli aliitoa Haji kuwa pale yanga wenye akili ni wawili tu,na akawaorodhesha

1. Jakaya Kikwete.

2.Sunday Manara(baba yake haji)

Sasa fikiria kipindi waTANZANIA wanampa ng'ombe ndugu mayele walikuwa na UPENDO.
Ila leo WATANZANIA haohao wamejitokeza kumpa mil 1 ndugu GEORGE MPOLE MFUNGAJI BORA WA NBC PL wanasema ni UBAGUZI ,ukizingatia ni mzawa na anatokea katika timu ya kawaida GEITA GOLD.

Hawa jamaa ni vigeugeu sana, hawaaminiki uto,
Hata ukiangalia majority ya washabiki wao, mimi mwanangu akiwa shabiki wa utopolo namfukuza nyumbani ni laana.
View attachment 2279169

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Huyo mtoto wako namsikitikia sana kuwa na baba kama wewe.

Huwezi kuwa baba halafu ukaamua tu kirahisi kutembea barabarani huku ukiwa hujavaa nguo.
 
Back
Top Bottom