DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kuna kauli aliitoa Haji kuwa pale yanga wenye akili ni wawili tu,na akawaorodhesha
1. Jakaya Kikwete.
2.Sunday Manara(baba yake haji)
Sasa fikiria kipindi waTANZANIA wanampa ng'ombe ndugu mayele walikuwa na UPENDO.
Ila leo WATANZANIA haohao wamejitokeza kumpa mil 1 ndugu GEORGE MPOLE MFUNGAJI BORA WA NBC PL wanasema ni UBAGUZI ,ukizingatia ni mzawa na anatokea katika timu ya kawaida GEITA GOLD.
Hawa jamaa ni vigeugeu sana, hawaaminiki uto,
Hata ukiangalia majority ya washabiki wao, mimi mwanangu akiwa shabiki wa utopolo namfukuza nyumbani ni laana.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app