Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Nami ngoja nilete bandiko langu kuhusu hawa akina mama zetu wa Kitanzania, hasa, ni kuhusu suala la mikado. Akina mama hawa wanaweza weka rehani nyumba ya familia wakakopa mafweza na pande kubwa ya fweza ikapelekwa kwao na wakati huohuo, huko kwao hutumia pande hilo kujisherehesha, na, hawachangii kurejesha deni.
Hapo ndipo wababa wengi hushangazwa na hata nyumba kutwaliwa. Hawa wamama hawa, huchukua majina hata kumi kwenye VICOBA, Martlesham ni panga kwenye share ya chakula walioachiwa watoto.
NIONGEZE SAUTI, AU INATOSHA??